Orodha mpya ya Forbes ya wasanii wa hiphop matajiri wa zaidi imetoka,Isome HAPA

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wasanii matajiri zaidi duniani wanaofanya muziki wa Hip-Hop yani Forbes Hip-Hop Cash Kings.
Puff Daddy anaongoza namba moja kupitia biashara kama kinywaji cha Ciroc,
Jay Z anashika namba mbili kwapesa nyingi zikiwa zinatoka kwenye lebo yake ya Roc Nation, tovuti ya muziki ya TIDAL, Armand de Brignac champagne, na D’Ussé cognac.
Dr. Dre anashika namba tatu kutokana na mkwanja wa Beats by Dre na Apple, pamoja na filamu ya N.W.A >Straight Outta Compton.
Hii ndio orodha kamili
Hip-Hop Cash Kings 2016
1. Diddy – $62 million
2. Jay Z – $53.5 million
3. Dr. Dre – $41 million
4. Drake – $38.5 million
5. Wiz Khalifa – $24 million
6. Nicki Minaj – $20.5 million
7. Pitbull – $20 million
8. Pharrell Williams – $19.5 million
9. Kendrick Lamar – $18.5 million
10. Birdman – $18 million
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment