Kanye West athibitisha ujio wa album ya pamoja na Drake

Imethibitishwa rasmi kwa wapenzi wa hiphop na rap kuwa album ya pamoja kati ya Kanye West na Drake inakuja.
Mr. West amethibitisha jambo hili kwenye mahojiano na jarida la Vogue kwa kusema “Ndio tunafanya muziki pamoja na kula raha studio tukitengeneza muziki,tuna tayarisha album kwa hiyo ni jambo la kusisimua linakuja
Leo Kanye ametoa toleo jipya na la nne la Yeezy ‘Yeezy Season 4’ kwenye New York Fashion.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment