Desiigner amesema “Sina rafiki ambaye ni rapper, wasanii wote ambao niko nao ata GOOD Music ni wasanii tu sio Rappers ”
Je kunatofauti, ndio ipo RAP inahitaji vitu vitatu vikubwa ambavyo ni ‘Content’ , ‘Flow’, na ‘Delivery’ ila kuwa msanii kuna kuja na mambo mengi ya sanaa ,ubunifu, muziki na mitazamo tofauti
0 comments:
Post a Comment