Kupitia twitter mwana dada Missy Elliott aliahidi kutoacha kuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Lil Wayne kwa kuandika ujumbe huu ” Prayers up 4 whatever u may be enduring right now this to will pass & may u find PEACE
I will always be a fan of your work
“Kauli hii imekuja siku chache baada ya Wayne kutishia kuacha muziki.
0 comments:
Post a Comment