Ice Cube, kifo cha Eazy E kwenye Straight Outta Compton Ni fundisho kwa vijana.

ice cube
Kifo cha rapa Eazy-E kilivyoigizwa kwenye filamu ya Straight Outta Compton inayotoka August 14 kimekumbusha vijana kuhusu gonjwa ka Ukimwi.
Eazy E alifariki mwaka 1995.
Ice Cube anasema  “Eazy alitufundisha kuwa Ukimwi upo na unauwa, na sio gonjwa la watu maarufu wa filamu au muziki ila kwa vijana wa mtaani kama sisi, Sasa filamu hii itafundisha tena vijana jambo hilo ”
Ice Cube alitengana na NWA Mwaka 1989 na kugombana nao kundi hilo, baadae Ice alitoa album yake ya “No Vaseline” diss track. Ice Cube baadae alipatana na Eazy-E.
Ice Cube anasema maisha ni mafupi na huu sio muda wa kugombana sababu hujui kama utakuwepo kesho. Member wa N.W.A DJ Yella hakujua kama Eazy-E alifariki kwa AIDS
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment