Dr Dre akiri kufanya unyanyasaji, ni makosa yanyuma Anayotaka kufuta.

drrrrrrr
Akiwa kwenye ziara ya vyombo vya habari kutangaza filamu yake ya ” Straight Outta Compton ” Dr Dre amezungumzia mambo tofauti kuhusu maisha yake miaka ya tisini ikiwemo unyanyasaji wa mwanamke “Michel’le ” ambaye aliwahi kusema alinyanyaswa na kupigwa na Dr Dre wakati wako kwenye mahusiano.
Dr Dre amesema ” Nilifanya maamuzi mabaya wakati wa ujana wangu ambayo mpaka leo natamani kuyafuta, nilikuwa mjinga sana, siwezi kusema alichosema Michel’le ni uongo ila natamani ningefuta kabisa mambo niliyofanya nyuma, sitarudia tena kufanya makosa kama yale
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment