Busta Rhymes alitishia kumpiga shabiki makofi, kilichofata ndio hiki.


busta rr
Busta Rhymes anachunguzwa na polisi baada ya tuhuma za kutishia kumpiga shabiki makofi kwenye show ya tuzo za BET Awards.
Busta alikasirika baada ya mwanamke kumgonga wakati anacheza na Busta alisema “Don’t make me slap you,” Wiki iliyopita Busta alikamatwa kwa kosa la kumpiga mto na chupa ya maji kwenye jumba la mazoezi.
0812-busta-rhymes-splash-4
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment