Sauti Sol na Yemi Alade wafanya wimbo pamoja nje ya Coke Studio

Wasanii wanaopeperusha bendera ya Kenya kwenye muziki wa kimataifa Sauti Sol wameingia studio na Mnigeria Yemi Alade baada ya kukutana naye Coke Studio. Wimbo wa Yemi Alade na Sauti Sol unatayarishwa na Cobhams Asuquo.
Yemi Alade ameshafanya kazi na Jua Kali aliyokuwa Nairobi kwenye Coke Studio.
sauti 6 sauti
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment