Ni mwezi wa wapendanao…Tukiwa tunaelekea kilele cha maadhimisho ya ile siku ya wapendanao, Februauri 14, maaraufu kama Valentine’s Day, ni siku ambayo wapendanao huonyesha ni kwa jinsi gani wanawapenda na kuwathamini wenza wao.
Kama zawadi kwa wapenzi hao ambao hupenda burudani pia, Quick Rocka anakuja na mdundo mpya uitwao “Penzi” ambao amaeshirikiana na hitmaker wa “Jikubali”, Ben Pol ambaye pia anategemea kuachia track yake siku ya kesho.
Produza Maneck, toka A.M Records ndiyo amaesimamia upishi wa ngoma hii !! Tunaisubiri kwa hamu

0 comments:
Post a Comment