Nike Waachia Air Yeezy II Red Octobers Na Kuuzika Ndani Ya Dakika 11..

YEEZY 

Imekuwa ni kitendo cha kushtukiza pale watu wote walipokuwa wakiifurahia siku ya Jumapili sehemu mbalimbali, ndipo Kampuni inayotengeneza viatu vya Nike ilipoachia mzigo wake mpya ambayo ni brand ya mkali Kanye West, Air Yeezy 2 Red Octobers.
MichaelLawrie_114263101KW192_2011_amfAR_s_2011-05-19.jpg

Kanye West..
Cha aajabu zaidi, ni kwamba baada ya Nike ku – tweet uwepo wa kiatu hicho, ilichukua takribani dakika11 kwa kiatu hicho kumalizika baada ya kununuliwa kwa haraka. Thamani ya kiatu hicho ni dola za kimarekani $245, sawa na Tsh 404, 250/-
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment