Baada ya kutambulisha na kuachia mdundo wake mpya, “Nishike Mkono” aliyomshirikisha msanii mrembo mwenye sauti nzuri toka THT, Mwasiti, wiki iliyopita, msanii D Knob ameona ni bora aendeleze mashambulizi ya kutoa burudani inayojitosheleza hasa ukizingatia mwezi huu wa Makopa, wapenzi na mashabiki wengi wa burudani ya muziki wanategemea ngoma kali kusindikiza furaha inayoendelea kutawala.
D Knob yupo location akiwa anaendelea ku-shoot video ya wimbo huo, na amesema anategemea kuiachia mapema Ijumaa hii, ambayo ndiyo itakuwa kilele cha siku ile ya wapendanao, Vaentine’s Day, Februari 14.
D Knob tayari kwa ku-shoot video ya wimbo “Nishike Mkono”…
Mwasiti…
Kampuni ya E MEDIA ndiyo wanasimamia shooting ya Video hiyo !
Mwasiti On Set…Ready For Action



0 comments:
Post a Comment