Mtu mzima Stereo hivi majuzi alikuwa
pande za Arusha kwenye show ya Hip Hop inayoitwa BACK 2 S.U.A, Baada ya
hiyo show basi akaona asirudi Dar bure bila kupiga mkono mmoja na
wasanii wa Hip Hop wakongwe kutoka Arachuga. Wasanii hao aliogonga nao
ngoma ni pamoja na mtu mzima CHINDO MAN aka MBWA pamoja na MP PLUS kitu
wakakipa jina TINDIKALI, wewe unavyodhani huu mkono utakuwaje..?
Released Date: 01/02/2014
Track Name: Tindikali
Artist: Chindo;Stereo;Mo Plus
Studio: Noizmekhaz©
Prod: Def Xtro @defxtro
Track Name: Tindikali
Artist: Chindo;Stereo;Mo Plus
Studio: Noizmekhaz©
Prod: Def Xtro @defxtro

0 comments:
Post a Comment