WAKAZI KUWASUPRIES MASHABIKI WAKE LEO USIKU

Baada ya kuachia Mixtape yake aliyopa jina la 'Utatu Mtakatifu' msanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' leo usiku anatarajia kuwasupries mashabiki wake kwa kuachia nyimbo yake mpya ambayo haijajulikana ni wimbo gani.
Akizungumza na HOT SHOW kwa njia ya simu Wakazi alieleza kuwa anatarajia kuachia nyimbo hiyo kama supries kwa mashabiki wake huku akikataa kueleza jina la wimbo huo na sababu za kufanya hivyo.
Pamoja na hayo msanii huyo anatarajia kusafiri kwenda nchi ya mbali kwa ajili ya kukamilisha mipango yake ya kuendeleza muziki wake kuweza kuvuka mipaka ya nje ya Tanzania
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment