Team ya Anaconda ya Lady Jay Dee yazidi Kuwa Kubwa..Wasanii Kibaoooooooo wazidi kumuunga mkono
Ukiangalia hii Picha kwa Makini utaona wasanii Mbali mbali wakiwa na Lady Jay Dee Wakifanya Sign Ambayo anapenda kuitumia Lady Jay dee ya Anaconda...Ambayo ndio Movement yake ya Kupinga Unyanyasaji wa Kimuziki ....Hii ni kama ile Harakati za kundi la Anti Virus Ambao walikuwa na mpamgo huo kwa muda mrefu sasa...ninin kitatokea?2ngoje 2oneeeeeeeeeee
0 comments:
Post a Comment