Inaonekana mojawapo ya vitu rapper Ja Rule aliutumia muda wake mwingi aliokua nao jela, kupiga serious nondo. Katika picha zake zilizoibuka Instagram, Ja Rule anaokena kuwa na misuli mikubwa zaidi kulivyo alivyokua akionekana kabla ya kwenda jela.





Picha ya zamani: Angalia alivyokua kabla ya kwenda jela
0 comments:
Post a Comment