
Kufuatia taarifa ya kujitoa katika show ya Lady Jay Dee, Mwanamuziki Khareed Mohammed TID aamuwa kuweka wai juu ya hilo. Kupitia katika ukurasa wake wa Facebook mwanamuziki TID Almaarufu kama Top In Dar, ameandika hivi
three reason why i cant do lady JIDE SHOW .............No.1 i have better contract pays me better than.No.2 i really dont want to be between anybodys conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari...No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ...............kama nimekukosea captein na madame kazeni but i have been thru same shit.........
0 comments:
Post a Comment