CHRISS BROWN APATA AJALI NDOGO AKIWA NA KARRUECHE ANGALIA HAPA

Ikiwa na siku chache 2 zimepita baada ya msanii Chriss Brown kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna, siku ya jana amepata ajali akiwa na mpenzi wake Karrueche.Ajali hiyo imetokea baada ya Criss kugonga kwa nyuma gari nyingine huko Los Angeles.Baaaba ya ajali hiyo Chriss alipaki gari yake mbele ya gari hiyo aliyoigonga huku mhusika wa gari iliyogongwa ambae ni mwanadaa akiwa bize na simu yake.Wakati hayo yakiendelea Karrueche alikuwa akiendelea kupiga picha tukio hilo.Cheki hapaChris ajali-3chris ajali_2ea
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment