
HAWA NDIO WASANII WATAKAOTUMBUIZA KWENYE UFUNGUZI BIG BROTHER AFRICA
Big Brother Africa imewadia. Show ya ufunguzi ya shindano hilo itafanyika Jumapilin hii May 26 nchini Afrika Kusini ambapo pia wataonakana washiriki wote 28 ambao watakaa ndani ya jumba hilo kwa muda wa miezi mitatu na mshindi ataibuka na kitita cha shilingi Dola laki tatu 3..Miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye show hiyo ya ufunguzi ni mwanadada Stela Mwangi [STL] toka pande za Kenya,kundi la Mafikizollo toka Afrika Kusini,Don Jazzy,Wande Coal toka Nigeria,D Prince.

0 comments:
Post a Comment