Chriss Broen ametimiza umri wa miaka 24 sasa.Sherehe za Birthday Party hiyo zilifanyika katika ukumbi wa 1 OAK NIGHT CLUB ambapo ilihudhuriwa na wasanii kadhaa kama Fabolous,Lil Wayne,Jeremih na wengine kibao.Kivutio kikubwa katika party hiyo kilikuwa ni CAKE ambayo ilikuwa na umbo la Pyramid hivi...Chek it out some pictures
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment