Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya
Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo
na kudai ilikuwa ni aibu tupu.
“Diamond jana manyago aibu tupu waswahili lazima tubadilike it’s embarrassing,” ametweet.
“Hajafanya
jambo lolote ila shoo ilikuwa very unprofessional kwenye tangazo
walisema inaanza saa 3 usiku jamaa amefika saa 1 asubuhi.”
“Jukwaa
lilikuwa ovyo kama vile watu hawajalipa kumuuona mmoja Wa wasani
wanaotamba bongo nyimbo zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa haimbi.”
Kwa sasa Diamond yupo ziarani nchini Uingereza.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment