Rapper ambae pia kwa sasa amejikita zaidi kwenye masuala ya kisiasa akiwa ni Mbunge wa MBEYA MJINI kwa tiketi ya CHADEMA, anajulikana kama JOSEPH MBILINYI a.k.a Mr. II (SUGU). Kwenye picha above ni Mh. Sugu pamoja na familia yake ... picha hii imepigwa katika mteremko wa Mlima Kitonga, IRINGA ...
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment