BAADA YA KUPIGWA NA KALAPINA CHID BENZ AZIDI KUKWARUZANA NA NEY WA MITEGO


Rapper kutoka ILALA maarufu kama Chidi Beenz ameonekana kuendelea kuwa katika ugomvi mkubwa na rapper mwingine kutoka MANZESE akijulikana kama Ney Wa Mitego ...
CHIDI ambae leo kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika hivi ... "We Neema wa mitego usinitumie msg inbox tafadhari..unanitukana mimi mteja sina hata baiskeli' sijui unamaanisha nini but usitume msg inbox...mimi nina God,Family,Ilala,mashabiki wanaonikubali,ndugu na marafiki na najua kufanya kazi napenda mziki..utajiri unao wewe baiskeli unayo wewe na vizuri kama hutumii madawa wala chcht.m real".
NEY WA MITEGO ameonekana kuendelea kumsumbua CHIDI na kulisema vibaya jina lake especially katika shows zake anazopiga jukwaani ...

Weekend hii Ney alikuwa akipiga show katika uwanja wa Dar Live Mbagala na wakati akitumbuiza jukwaani hapo Ney alimdiss Chidi kwa kuimba " Chid Benz katoboa pua au c ridhiki ? Na wavuta sigara wote ni Matahira...
Kama hiyo haitoshi, bado rapper huyo ameonekana akiendelea kumsumbua Chidi kwa kumtumia text messages ambazo bado ni za kejeli rapper huyo ...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment