T.I.D ASHANGAA MAAMUZI YA KILIMANJARO MUSIC AWARDS......

Mwanamuziki maarufu TANZANIA, TID anaemiliki bendi yake inayofahamika kama TOP BAND ambayo hutumbuiza kila weekend ameonekana akilalamikia Tuzo za KILI AWARDS zilizoingia kwenye upigaji wa kura sasa ...
TID ameonekana kumind kitendo hicho kwa kuuliza ni kwanini kamati ya Kili Awards ilimwita kwenye mkutano wa wasanii halafu haijamchagua hata kwenye kipengele kimoja cha kuwania Tuzo hizo ...??
Hiki ndicho alichokiandika TID kwenye ukurasa wake huo "Tid Topband.. Nashangaa killi awards kuniita then hawajaniweka hata kidogo hii maana yake nini au ndo roho mbaya?"
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment