BRAND NEW TRACK:2 CHAINZ FT WIZ KHALIFA-WE OWN IT


Ni ngoma mpya ya 2 CHAINZ akiwa na WIZ KHALIFA ikifahamika kama WE OWN IT ... Ngoma hii pia imetumika kama SOUNDTRACK ya Movie kali ya FAST & FURIOUS 6 inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ...
Movie hiyo inayoshirikisha waigizaji wakongwe na wasanii wa muziki pia kama PAUL WALKER, VIN DIESEL, DWAYNE "THE ROCK" JOHNSON, LUDACRIS, TYRESE GIBSON na wengineo inatarajia kutoka ikiwa kama ya 6 ikiwa na nyingine 5 zilizowahi kutoka kipindi cha nyuma ... Kama ni mpenzi wa movie unahitaji kuzitafuta hizi na usiikose hii itakapotoka ...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment