
BUGATTI YA ACE HOOD KUUNGANISHA WAKALI KIBAAO KWENYE REMIX
Ace Hood yuko njiani kufanya remix ya ngoma yake iittwato BUGATTI ambayo inafanya vizuri kwa sasa na ndio ngoma inayoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa upande wa nyimbo za Rap.Katika remix hiyo Ace Hood amewashirikisha wasanii kibao wakali humo ndani watakuwemo Wizzy Khalifa,Meek Mill,2 Chainz,Birdman,Dj Khaleed,French Montana,T.I na Futture'''''STAY TUNED..............

0 comments:
Post a Comment