Aliyekuwa
producer wa Notorious BIG kati ya nyota wengine wakali ambaye kwa sasa
ni DJ wa Hot 97, Mister Cee, ameingia kwenye scandal kwa mara nyingine
baada ya kunaswa akijichanganya na mwanaume anayejiuza huko Brooklyn.
Mister Cee alikamatwa baada ya kumfuata 'hooker' Yani Kijana Huyo Anaye Jiuza na
kuanza Kuanza Kuongea Nae Kuhusu Bei Ya Huduma Yake Na gharama za
kwenda kumstarehesha, pasipo kujua kuwa 'hooker' huyu alikuwa ni askari
ambaye alikuwa Undercover.
Huu
ni ushahidi mwingine ambao sio habari nzuri kwa wana hip hop kuwa Mr.
Cee ni 'homosexual' na hii si mara yake ya kwanza kukamatwa akiwa
anafanya tabia yake hii mbaya na wanaume wenzake..
Home / Uncategories / HUYU NDIYO DJ/PRODUCER WA HOT 97 ALIYEINGIA KATIKA SCANDAL YA KUWA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment