HAHAHAHAHAHAAAAAA..............Baada ya Kufukuzwa Kwenye Kipindi EATV kwa Kuvaa Ndala sasa Juma Nature Aanzisha Biashara ya Kuuza Ndala
Suala la mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Juma Nature kutokana na kuvaa ndala, limemsaidia kiongozi huyo wa Wanaume Halisi kuanzisha biashara mpya, ya ndala Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini mkataba na kampuni moja kuanza kuuza ndala hizo ziitwazo Halisi na wiki ijayo zinaweza kuingia mtaani.
0 comments:
Post a Comment