Tangu msanii Diamond Platnum aanze kufanya shows zake nchini Uingereza kumekuwa na maswali mengi miongoni mwa wadau mbalimbali wa muziki na swali kubwa ni kwa nini show zake karibu zote wahudhuriaji wakubwa ni wanawake tena wanaovaa nusu uchi huku kukiwa na idadi ndogo sana ya wanaume katika maonyesho hayo?Inasemekana wakina dada hao ni wale ambao ni makahaba wanaojiuza katika kumbi mbalimbali za starehe huko uingereza huku wakiwa na mavazi ya hasara yaani nusu uchi..........Je ni kweli kwamba PLATNUM ANAWAFANYIA SHOWS MAKAHABA?Angalia kwa makini picha hizi
Hii ni show ya diamond nchini Uingereza alipokuwa akichambua na kulinganisha mauno ya mashabiki wake
0 comments:
Post a Comment