JA RULE AACHIWA HURU


Hivi ndiyo Ja rule alivyotimba uraiani ambapo amekaribishwa poa na mke wake, Aisha Murray ambaye ndiye aliyemchukua mara tu baada ya kuachiwa na sasa atalazimika kumalizia adhabu yake kwa kifungo cha nyumbani mpaka Julai 28.

Awali rapa huyu alipanga kuwa siku atakayoachiwa ataingia moja kwa moja katika tour ya dunia kwa ajili ya kuwafikishia mashabiki ujumbe kuwa amerudi kwa kasi, lakini mpango huu haukuwa kama ulivyopangwa.

Msanii huyu alitiwa kifungoni kwa makosa mawili #Kukwepa kulipa kodi na #Kukamatwa akiwa anamiliki silaha (bastola) kinyume cha sheria.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment