Kwa mara ya kwanza nilimsikia Azma katika wimbo My Name is Hiphop
mwaka 2009 uliofanyika katika studio ya Rama Records chini ya prodyuza Kita,Kuna ngoma inaitwa Bongo Fleva inakufa
pia Kipimo cha penzi aliyoitengeneza 2012 chini ya Prodyuza Kita Pia,
ambapo mwaka huu ameibuka na nyimbo iitwayo My girlfriend is my best friend..Albam yake ya LOVE STORIES inafanya vizuri sana kwa sasa.
Azma kulia akiwa na The Heavy weight Mc Prof Jizee
JADAKIS
Cassidy
Azma akiwa na mwimbaji pia prodyuza Kita, wa Tamadun Muzik
Je AZMA alimpataje CASSIDY?Jibu ni kwamba aliungamishwa na prodyuza wa Chofaco Records ya
Marekani aitwae Choba Ray,ndipo akafanya
kolabo hiyo
na Cassidy na Jadakiss.
Choba Ray ndiye
prodyuza wa wimbo Danger wa
Farid Kubanda a.k.a FID Q na ngoma hiyo ya AZMA na CASSIDY itakuwa hewani mda si mrefu.
Big up kwa Chba Ray wa Chofaco Records..
Choba Ray,Producer aliyemuunganisha Azma kufanya collabo na Cassidy
0 comments:
Post a Comment