T-Pain hajatoa sababu za kuamua kunyoa rasta na alionekana kwa mara ya kwanza akiwa bila rasta hizo kwenye uzinduzi wa asasi ya misaada inayoongozwa na mama mzazi wa msanii huyo.
Inaweza kuwa moja kati ya vitu vya kukushangaza kutokana na ukweli kwamba tangu aaze kujulikana katika ulimwenbu wa muziki T Pain amekuwa na muonekano mmoja tu wa style hiyo ya nywele ya rasta mpaka alipoamua kuzinyoa hivi karibuni na hivi ndivyo alivyo sasa,,....mcheki hapa

0 comments:
Post a Comment