GOOD NEWS:WEWE NI MTOTO WA KIUME NA UNA KIPAJI?HII INAKUHUSU TOKA KWA LAMAR WA FISH CRUB..

Produza Lamar akiwa kwenye studio zake Fishcrab
 Lamar kutoka studio zake za Fish Crab amesema kuwa hivi sasa anasaka wasanii wanaume wenye vipaji vya kuimba kwa kiingereza na kiswahili.
Lamar alisema kuwa anafanya hivyo kwakuwa mwaka uliopita alifanya mchakato huo huo wakutafuta vipaji kwa upande wa wasichana ambako alifanikiwa nakupata wasichana watatu ambao hivi sasa ndo wanaunda kundi la wasanii wa kike 'Shosteez'.Kwa sasa anasema anataka kutengeneza kundi la wasanii wa kiume wanaoimba kama alivyofanya kwa wasanii wa kike.
Lamar akiwa na kundi ambalo analisimamia hivi sasa 'Shosteez'
  Kama wewe ni kijana wa kiume una uwezo nenda katika studio za Fishcrab zilizopo maeneo ya Kariakoo au unaweza kutuma  'demo' yako ukiwa unaimba kupitia anuani ya barua pepe ambayo ni fishcrab@gmail.com, alisema Lamar.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment