HAWA NDIO BAADHI YA WASANII WA MAREKANI WALIOWAHI KUKIRI KUTUMIA BANGIIIIII.....

Msanii Rihana yuko kwenye list ya wasanii ambao walishawahi kukiri kutumia ganja,na pia huwa anapost picha akionekana akipuliza mjani aka bangi.
Lady Gaga ashawahi kuthibitisha kuwa anakula kitu baada ya kuwasha mjani aka bhangi kwenye moja ya shoo zake huko Ulaya.
JT aka Justin Timberlake naye yuko kwenye hii list ya wala vitu
Frank Ocena naye yuko kwenye hii list iliyowekwa na mtandao mmoja wa Marekani
Chris Brizzy naye yuko kwenye list ya wasanii wanaotumia kitu
Mwigizaji Brad Pit naye aka mume wa Angeline Jolie nae ndani
Muigizaji Morgan  naye ndani
 Snoop ndo baba la baba sasa,nahisi huyu joint anazopiga anawafunika woteee
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment