Kama utakumbuka wasanii BOW WOW na mwanadada Ciara walikuwa wapenzi kwa muda mrefu then waka break up.Sasa juzi baada ya Ciara kurudi rasmi kwenye game alipata interview katika tv show maarufu zaidi duniani inayojulikana kama 106 & park ambapo Bow wow ni mmoja kati ya watangazaji wa kipindi hicho.Ciara alisindikizwa na mpenzi wake wa sasa ambae pia ni msanii aitwae Future.Katika interview hiyo ciara alikuwa anazindua rasmi video yake ya Body Party ambapo alipigwa interview nzima na bow wow mazungumzo yakiwa ni kuhusu albam yake mpya pamoja na ngoma yake aliyomshirikisha Nick Minaj iitwyo Nothing intimate,Nothing personal.
Bow WOW kushoto,Ciara katikati na mtangazaji mwingine wa kipindi hicho cha 106 & Park
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment