T.I ASEMA NI KWELI KENDRICK LAMAR NI MFALME WA NEW YORK UKIMTOA JAY Z
Rapa kutoka ATL Clifford Joseph Harris a.k.a T.I amesema ukimtoa Jay Z ni kweli Kendrick Lamar ni mfalme wa New York.Yeye kusema ni 'King of New York' ni ujasiri na anastahili kwa sababu ukimtoa Jay Z hakuna rapper mpya mwenye mafanikio au anaemzidi KENDRICK kutoka New York.Hakuna msanii mpya ambae nyimbo zake zinachezwa zaidi ya nyimbo za Kendrick hapo New York.,kwa hiyo bila ubishi yupo sahihi sana.''alisema T.I kwenye interview na mtandao wa VIBE.
0 comments:
Post a Comment