NEY WA MITEGO "SINA TATIZO NA MADAM RITHA.."NANI AMENUNA?
Katika Uzinduzi wa Video mpya ya Diamond ya wimbo unaoitwa Number 1 , Madamme Ritha wa BSS alikutana Live live na Ney wa Mitego ambaye alimchana sana kwenye wimbo wake mpya akiuliza milion 50 za BSS zinaenda wapi ? kwani washindi stil bado wamechoka kimaisha...ili kuonyesha kuwa hawana Beef kati ya yao waliamua kupiga picha ya Pamoja....
Hongera Madamme Ritha kwa kuonyesha ukomavu..
0 comments:
Post a Comment