Kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki TREY SONGZ imefutwa baada ya kuonekana haina maana wala mantiki.
Tyrezy Songz angalau anaweza kupumzika sasa baada ya kufutiwa kesi yake ya kushangazwa ya tuhuma ya kumpiga na pesa usoni mwanamke kwenye klabu ya usiku kwa sababu inaonekana haina msingi wala uzito
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment