Kuna tetesi kwamba wimbo unaofanya vizuri kwa sasa wa mwanadada Judith Wambura uitwao JOTO HASIRA ni kopi ya wimbo kama huo toka Kenya ambao uliimbwa muda mrefu na msanii wa Kenya.i LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO, HASIRA... Ikimaanisha ni kama JAYDEE ameurudia wimbo huo ...
Home / Uncategories / NI KWELI 'JOTO HASIRA' ILIIMBWA NA MSANII WA KENYA KABLA YA JIDE?CHEKI ALICHOKIANDIKA JAYDEE
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment