Huyu ni mwakilishi Mwingine wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa MWAKA HUU 2013.Anaitwa AMMY NANDO ana umri wa miaka 22 na kazi yake ni modeling.Muda mwingi alikuwa akiishi Los Angeles Marekani ni model katika Agency iitwayo MODELMAYHEM.Huyu pamoja na mwanadaa Fezza Kessy ndiyo wawakilishi wetu paleeeeeee BIG BROTHER THE CHASE


0 comments:
Post a Comment