2 FACE AFANYA COLLABO NA T PAIN
Msanii toka Nigeria 2Face Idibia ametoa taarifa kwamba amefanya Remix ya wimbo wake uitwao 'RAINBOW' na amemshirikisha msanii mkali toka Marekani T Pain.Wimbo huo unapatikana katika album yake iitwayo AWAY AND BEYOND na wimbo huo unatumika kama Ring back tone na mtandao wa kampuni ya simu wa ETISALAT
0 comments:
Post a Comment