MWANA FA KUACHIA NGOMA YAKE MPYA KESHO
Hamees Mwinjuma a.k.a Mwana F.A baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hatimaye siku ya kesho ataachia wimbo wake mpya kabisa aliowashirikisha wasanii kibao humo ndani.Katika ngoma hii utapata ladha tofauti kwani humo ndani kuna band ya Kilimanjaro Wananjenje,kuna mzee wa siku nyingi anayejulikana kama Mafumu Bilali pamoja na jamaa toka A'Town nawazungumzia Mandojo na Domokaya.Ngoma inaitwa 'KAMA ZAMANI' na imefanyika Bongo Records chini ya P'Funk Majani.Mara ya mwisho F.A aliachia ngoma aliyomshirikisha mwanadada Linnah toka T.H.T iliyokuwa inaitwa YA LAITI ambayo ilifanya vizuri.So km vp 2cubiri hiyo kesho...............
0 comments:
Post a Comment