MTV AFRICA ALL STARZ KUFANYIKA TAR 18 MWEZ HUU JUMAMOSI



MTV Africa All Stars itafanyika tarehe 18 MAY mwaka huu na litapigwa bonge la CONCERTlikisherehekea MTV BASE upande wa Africa na kushirikisha wasanii kibao kutoka barani humo ...
CONCERT hiyo itakayofanyika KWA ZULU-NATAL katika uwanja MOSES MABHIDA STADIUM huko People's Park, DURBAN itaongozwa na rapper mkubwa duniani famously known as SNOOP DOGG and recently SNOOP LiON ...
#AFRICAALLSTARS imetoa line up ya wasanii watakaopiga show hiyo nchiniSOUTH AFRICA kama ifuatavyo ...
Fally Ipupa (@fallyipupa01
Professor(@professorkalawa)
2Face (@2faceidibia),
 Flavour (@2niteFlavour
D’banj (@iamdbanj)
Camp Mulla (@campmulla)
 Z akes Bantwini(@ZakesBantwiniSA)
Check taarifa zaidi kuhusu show hiyo itakayorushwa na DSTv katika video clip hii hapa chini :

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment