NI ngoma mpya ya msanii wa muda mrefu kwenye game anajulikana kama Bwana Misosi toka TANGA alipotea kwa muda mrefu lakini sasa amerudi na ngoma inayojulikana kama TUNGI NA MISOSI imetengenezwa na producer anayekuja vizuri kwenye game anafahamika kama ZEST MKALI anayetokea pande za GREEN CITY MBEYA na ngoma hiyo imefanyika katika studio ya PLEXITY RECORDS iliyopo jijini Dar es salaam..Sikiliza na Download hapa
Home / Uncategories / Brand New Track:Bwana Misosi ft Dullayo''Song Tungi na Misosi--Produced by Zest Mkali -Plexity Records
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment