JAYDEE KUANZA KU SHOOT YAHAYA LEO
Mwanamuziki wa kike wa TZ anatefanya vizuri kwenye game Judith Wanbura a.k.a Anaconda anatarajia kuanza rasmi shughuli ya koshoot video ya wimbo wake uitwao YAHAYA ambao upo katika albam yake mpya iitwayo 'NOTHING BUT TRUTH' itakayozinduliwa tar 31 mwez huu.JIDE ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook''SIKU YA LEO NAANZA KUSHOOT VIDEO YA YAHAYA'
0 comments:
Post a Comment