.
Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu
kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za
jeshi la Congo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye
picha hiyo aliyoweka Instagram.
Home / Uncategories / DIAMOND ATINGA GWANDA ZA JESHI LA CONGO KWENYE SHOW,CHEKI PICHA ALIYOITUPUIA INSTAGRAM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment