HUYU NDIYE CHID BENZ MPYA

Baada ya kutoka Rehab [Sober House ya bagamoyo] rapa mkubwa Afrika Mashariki Chidi Benz amezama Gym kupiga tizi na kurudisha mwili wake.
Chid aliwahi kuwa msanii mwenye muonekano wa kipeke kwenye game la hiphop na sasa anarudi tena kuthibitisha uwezo wake #GOODLUCKHOMMIE
chidi benz
www.streetconscious.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment