Wimbo wa Meek Mill “Wanna Know,” uliotajwa
kuwa ni Diss kwa Drake umefutwa mtandaoni kutoka kwenye kurasa ya
Dreamchasers Records SoundCloud baada ya kufikisha wasikilizaji milioni
moja.
Wimbo umefutwa kama ishara ya kuweka beef yake na Drake pembeni ili mambo mengine yaendele.Sababu nyingine ni kuwa Meek hakuwa na haki ya kutumia wimbo wa mcheza mieleka Undertaker kutengenezea diss ya Drake, hana haki ya mdundo huo , kufuta wimbo huo ni kukwepa kufunguliwa mashtaka na Undertaker kwa kutumia wimbo wake wa kuingilia ulingoni.
Kwa upande mwingine wimbo wa Drake ambao ni diss kwa Meek Mil “Back to Back” imeshika namba 21 na “Charged Up” upo namba 78 bilboard,
0 comments:
Post a Comment