Kampuni inayosimamia vipaji ya Rockstar4000 imetangaza kuwa msanii
wao Ali Kiba atamshirikisha msanii wa Marekani Neyo kwenye wimbo wake.
Tangazo linasema,
” Exciting News: African superstar Alikiba
will be collaborating with International Superstar Ne-Yo — More news to
follow…. #kingkiba #ROCKSTAR4000 ”
“Alikiba and Ne-Yo Collaboration! Two
world class amazing complete musicians in one room! Explosive Amazing
Magic! Keep you posted…. @officialalikiba #kingkiba #ROCKSTAR4000
#RockstarDiaries #CokeStudioAfrica #CocaCola @sevenmosha @neyo ”
Neyo alikuwa Afrika hivi karibu akifanya show kwenye tuzo za MAMA Na alikutana na wasanii tofauti wa Afrika.
Ukiacha Neyo, tayari Ali Kiba amethibitisha anafanya wimbo Davido
Home / Uncategories / Kampuni ya Rockstar4000 watangaza ramsi ujio wa collabo ya Ali Kiba na Neyo wa Marekani.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment