Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva
nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki
dunia jana akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili,
jijini Dar es Salaam.zangii.com inatoa
pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya
Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana
alitoa na Bwana ametwaa, jina lake
lihimidiwe!

0 comments:
Post a Comment