HAYA NI MASWALI MA4 YA ONE INCREDIBLE KUHUSU TAMADUNI MUSIC


Kupitia ukurasa wake wa facebook,One the Incredible ameuliza maswali yafuatayo:
KUNA WATU WANADAI MZIKI WA TAMADUNI HAUELEWEKI. UNAHISI TATIZO NI LIPI KATI YA HAYA?
1 - MGUMU, UNAHITAJI KULAINISHWA.
2 - HAUCHEZEKI, UFANYWE KWENYE MIDUNDO INAYOCHEZEKA.
3 - WASIKILIZAJI WANA VICHWA VIGUMU HAWAELEWI.
4-HAUWAHUSU WASIOUELEWA

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment